1 Kings 1:39

39Kuhani Sadoki akachukua pembe ya mafuta kutoka kwenye hema takatifu na kumtia Sulemani mafuta. Kisha wakapiga tarumbeta na watu wote wakapaza sauti wakisema, “Mfalme Sulemani aishi maisha marefu!”
Copyright information for SwhKC